Mechi ya kwanza ilichezwa katika viwanja vya Mao Zedong ambapo SVSC ilishindwa kwa magoli 2-1 magoli yakifungwa na Benson Mwemezi na Kelvin Haule.
![]() |
Captain Jeff Tibenda wakisalimiana na Captain wa Wazee Sports kabla ya mchezo kuanza. |
![]() |
Captain of the Year... Jeff Tibenda. |
![]() |
Jeshi la akiba.... |
![]() |
Timu mbili mchanganyiko katika mchezo wa awali ambapo SVSC ilishinda kwa magoli 2-1 |
0 comments:
Post a Comment