Wednesday, 24 April 2019

TIMU YA SVSC YAWASILI MJINI UNGUJA

Timu ya SVSC iliwasili salama Visiwani unguja na kupokelewa na wazee Sports Club.

Peter Simon Akiwasili Unguja tayari kwa mashindano ya Pasaka ambapo SVSC iliibuka mshindi na kuchukua Kombe.

S. Malongo na Michael Simbaulanga wakiwasili Mjini Unguja.

Suleiman Mgaya mbele akifuatiwa na mtoto wake na wachezaji wengine wakiwasilimjini Unguja.

Benson Mwemezi kulia na Mwl. Bomba kushoto wakiwasili visiwani Zanzibar.

Osca Coby beki kisiki naye alikwepo.....

Dulaaaaaa.......

Mnyamaaaaaaaaa Iddy Ngaoneka....akiwasili visiwani Zanziba.

Mzee wa Vumbi nae alikwepo.......

Blogger Mussa Siwiti kulia na Peter Simon wakiwa nje ya Bandari ya Zanzibar wakisubiri wenyeji wetu.

wadau wote wameteremka wanasubiri kuelekea hotelini.

Wachezaji wakiwa kwenye gari ya pamoja kuelekea Hotelini.




0 comments:

Post a Comment