Timu ilisafiri ikiwa na jumla ya wanachama na achezaji 34 kwa kutumia usafiri wa Azam marine na kufika salama visiwani Zanzibar.
 |
Kutoka kulia Peter Ngasa, Mussa Siwiti na Innocent Kuzengwa wakiwa kwenye boti kuelekea Zanzibar. |
 |
Mussa Siwiti (Blogger) tayari kwa safari ya nZanzibar |
 |
Eng. Alex Lubida Musa Siwiti tayari kwa Safari ya Zanzibar. |
 |
Toka kushoto Peter Simon (Kiopu) Benson mwemezi na Frank Gaspar na Malongo S akioneka kwa nyuma. wakiwa kwenye boti kuelekea Zanzibar. |
 |
....Hata vitumbua vilikwepo tu. Frank Gaspar na Benson Mwemezi wakiwa kwenye chombo. |
 |
Mwalimu Bomba kulia aliyeshika kitumbua na S. Malongo wakiwa safiri kuelekea Zanzibar |
 |
Katibu Suleiman Mgaya na Innocent Kuzengwa wakiwa safarini... |
 |
Zengweeeeeeeee......alikwepo kwenye safari. |
 |
Kama kawaida kama Dawa na hawa walikwepo kwenye safari. |
0 comments:
Post a Comment