Wednesday, 24 April 2019

TIMU YA SURVEY VETERANS YAREJEA NYUMBANI DAR NA MAFANIKO MAKUBWA.

Timu ya SVSC ilirejea nyumbani siku ya jumatatu baada ya kushiriki michuano ya pasaka Visiwani Zanzibar na kushinda michezo yote minne na kunyakua kikombe kwa mara ya nne mfululizo.






0 comments:

Post a Comment