Tuesday, 22 December 2015

GASABILE VETERANS YAKIONA CHA MOTO KWA SURVEY VETERANS

Timu ya SVSC ilitoa kipigo kikali mbele ya Gasabile Veterans katika uwanja wao kwa kuibugiza magoli 4-1. SVSC ikicheza katika ubora wake, iliwachukua dakika 15 kupata goli la kuongoza kupitia beki wake hatari mwenye misuri minene na mashuti makali Ahmed Salumu baada ya kuwapita mabeki wa Gasabile na kuachia shuti kali la guu la Dhahabu na kuipatia SVSC goli la kuongoza. baadae Gasabile walisawazisha na hadi timu zinaenda mapumziko mabao yalikuwa...

Sunday, 13 December 2015

TIMU YA VIJANA YA UKAGUZI YAIFUNGA SURVEY VETERANS GOLI 5-1

Timu ya vijana ya Ukaguzi imeifunga Survey Veterans goli 5-1 katika uwanja wake wa nyumbani katika mchezo uliochezwa jumapili tarehe 12/12/2015. Timu ya Vijana ya Ukaguzi ikichezesha Vijana wengi tofauti na Survey Veterans, iliwachukua dk 20 kupata magoli ma nne.Hii inatokana na uwezo wao kama vijana ukilinganisha na wazee wa Survey Veterans.Hadi timu zinaenda mapumziko, Timu ya vijana ya Ukaguzi ilikuwa inaongoza kwa goli 4-0. Kipindi cha...

MATUKIO YA PICHA KATIKA MCHEZO HUO

Winga hatari Musa Siwiti muda mfupi kabla ya mchezo kuanza Kutoka kulia Dulla mshambuliaji hatari, T.Bilauli, Kiganga D., Beki hatari Dkt Kibasa D, Capt Ngassa, Beki hatari Ahmed Salum, Beki ya kati James Kabambo na Winga hatari Musa Siwiti wakimsikiliza mwalimu hayupo pichani kabla ya mchezo kuanza Beki hatari ikipasha misuri moto kabla ya mchezo kuanza Beki visiki Ahmed na Dkt Kibasa wakipasha misuri moto kabla ya mecho kuanza Kutoka...

TIMU YA LUGALO VETERAN YALAZIMISHA SARE YA 3-3 KWA SURVEY VETERAN

Ilikuwa mchezo mkali katika uwanja wa Lugalo Veteran  zilipokutana timu ambazo zinaelekea kuwa ni wapinzani wa muda mrefu. Mara ya mwisho zilipokutana katika uwanja wa Nyumban wa Survey Veteran, timu ya Lugalo ilishinda wa goli 3-2 na mara hii ilijaribu kutaka kuendeleza uteja lkn mchezo ulikuwa mgumu kwao baada ya kujikuta wakilazimisha sare. Ilikuwa ni timu ya Lugalo iliyoanza kupata goli kipindi cha kwanza lakini iliwachukua dakika...

Tuesday, 29 September 2015

MATUKIO YA PICHA KATIKA MECHI YA MAGOGONI VETERANS NA SURVEY VETERANS

kutoka kushoto Banyikwa, Bluce, Mohamed Adam na James Kabambo Musa Siwiti na Bluce kabla ya mechi kuanza Mwl Bomba mwenye suruali  akitoa maelekezo ya mwisho kabla ya mchezo Magogoni veterans wakifanya maandalizi ya mwisho kabla ya mchezo kuanza ...

Monday, 28 September 2015

UJIO WA BRUCE HELMAN WANOGESHA USHINDI WA SVSC

Ujiowa beki mbili wa timu ya Survey Veterans kutoka Marekani ulinogesha ushindi wa goli 4 kwa bila dhini ya Magogoni Veterans.Kma kawaida ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani iliwachukua dk 15 kupata goli lake la kwanza. Bruce Helman wa kwanza  kutoka kulia waliochuchumaa (white Man) aliisaidia timu yake kupata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Magogoni Veterans ...

Friday, 18 September 2015

MASALIA YA BOMBA DAY

 Baada ya sherehe ya kumpongeza Mwl Bomba masalia ya pesa yalisalia na Mwenyekiti kumkabidhi Mwl kama matukio ya picha yanavyoonesha .... Dah Asante sana Mwenyekiti..... Ndiyo inaonekana Mwalimu Bomba alikuwa akisema....M/kiti wa SVSC Bw. Peter Mweta akimkabidhi masalia ya siku ya Bomba day Mwl Ramadhan Bomba kiasi cha pesa Tsh 60,000/= pesa ambazo zilibaki katika matumizi ya siku ya sherehe huku katibu wa SVSC Bw. Suleiman Mgaya akiangalia...

MATUKIO KABLA YA MCHEZO

D. Kiganga kushoto na Carlos Kulia wakipasha misuri moto kabla ya game James Kabambo kushoto B. Magadula katikati na D Kiganga Kabla ya Mechi Sbaban K, na 32 B. Magadula a 8 na wachezaji wengine kabla ya mechi Kabla ya Mechi Hamis Gaga kulia, Carlos ,D Kiganga na Moses Kabla ya Mechi Golikipa hatari  Yona mwenye jezi nyekundu, Jumanne katikati na Dulla kabla ya mechi Naseeb kulia, Magadula katikati na Gaga wakipasha...

NSSF VETERANS YALAZIMISHA SARE KWA SVSC

Timu ya kuungaunga ya NSSF ikiwa na mamluki kutokea timu pinzani iliweza kulazimisha sare ya goli 1-1 kutoka kwa timu ya Survey Veterans . Ilikuwa ni NSSF iliyoanza kufunga goli kipindi cha pili. Mshambuliaji hatari wa SVSC Innocent Lyimo (Mangi) akiingia kipindi cha pili aliweza kuisawazishia timu ya SVSC  Veterans. NSSF pamoja na kufanya mabadiliko machache, waliweza kuimarisha basi lao na kuhakikisha washambuliaji wa SVSC hawapenyi ngome...

Sunday, 30 August 2015

ZAWADI YA TIMU KWA RAMADHANI BOMBA

Timu ya SVSC katika kufahamu umuhimu wa Mwl, kwa kushirikiana na Mwl Bomba walikubaliana tumnunulie king'amuzi cha Azam kama zawadi ya timu kwake, Matukio ya picha hapo chini yanaonesha mahabidhiano hayo. M/M/kiti Dkt. Rasul akikabidhi king'amuzi kwa Mwl Bomba kama zawadi ya timu katika siku Bomba Day huku Capt Mohamed Adam akishuhudia kwa karibu. Bw, Ramadhani Bomba akiangalia kwa furaha zawadi yake  ...

SHEREHE YA KUADHIMISHA BOMBA DAY ETINA BAR & RESTAURANT

Baada ya mchezo wa kuadhimisha siku hii muhimu, kulikuwa na sherehe iliyoandaliwa na wanachama kwa ajili ya kumpongeza mwalimu kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya katika timu. MATUKIO YA PICHA ANAONESHA, Katibu Mkuu Suleiman Mgaya , Kaimu Katibu Shabani K. aliyeshika simu na Kaimu Mwenyekiti Dkt, Rasul wakiwakaribisha wapenzi na wanachama katika sherehe ya kuadhimisha siku ya Bomba day Etina Bar &Restaurant. David Kiganga akifungua champagn...