Friday, 29 December 2017

MWALIMU BOMBA KATIKA KAZI YAKE YA KILA SIKU

Mwalimu Ramadhani Bomba amekuwa ni mtu wa pekee katika timu ya SVSC. Ni mwalimu wa nidhamu, mwalimu wa mpira na mambo mengine yanayohusu maisha binafsi. Hii ni pale ambapo mchezaji anapoenda kinyume anamrekebisha kwa kumuonya na kumfanya awe mchezaji mzuri. Baada ya Peter Simon kukengeuka Mwalimu pamoja na wanamichezo wengine walimtaka kujirekebisha na kwenda sawa na falsafa ya Survey Veterans ya Upendo, uvumilivu, kuheshimiana kati ya mtu na...

SURVEY VETERANS GET TOGETHER PARTY YAFANA

Ilikuwa siku muhimu sana kwa wana Survey wote, Wapenzi, wanamichezo na wanachama kwa ujumla pale ambapo walikusanyika kwa pamoja kwa ajili ya kusherehekea siku kuu ya krismas. Ni utaratibu ambao wamejiwekea kila panapokuwa na sikukuu kubwa kama Pasaka, krimas na I...

Tuesday, 26 December 2017

NSSF YALAZIMISHA SARE NA SURVEY VETERANS

Timu ya NSSF ililazimisha sare ya magoli 2-2 na timu ngumu ya SVSC. Timu hii ya NSSF imekuwa mpinzani mkubwa sana kwa SVSC kwa mwaka huu maana tumekutana mara tatu na mara zote tumetoka sare. Captain Peter Ngasa Mwenye notebook mkononi akitoa maelekezo kwa wachezaji kabla ya mchezo kuanza. aliyekaa chini ni Chacha kibag...

Sunday, 17 December 2017

INNOCENT LYIMO: BINGWA WA MBIO ZA MITA 100 BONANZA LA NEIGHBOURS

Innocent Lyimo akipokea zawadi yake ya ushindi wa mbio za mita 100 kutoka kwa mchezaji mwenzake John mbitu katika bonanza la ujirani mwem...

ALBERT KAJALA SENGO MFUNGAJI BORA WA MASHINDANO YA BONANZA

Albert Sengo mfungaji bora wa bonanza akiwa na watoto waliokuja kushangilia na kufuatilia michezo hiy...

MATUKIO YA PICHA KATIKA BONANZA HILO

Hamis Gaga (Gagarino) akipokea zawadi yake ya uchezaji bora wa mechi ya kwanza ...

SURVEY VETERANS MABINGWA BONANZA LA NEIGHBOURS

Timu  hatari ya SVSC iliweza kutwaa ubingwa wa Bonanza siku ya jumamosi katika uwanja wa Neighbour's Madale Mivumoni kwa kuzifunga timu zote zilizoshiriki bonanza hilo. Mechi ya kwanza SVSC ilicheza na Madale Veterans na kuwafunga magoli 4-2,huku magoli mawili yakifungwa na Albert Sengo, Hamis Gaga (gagarino) akifunga goli moja na goli la nne likifungwa na Benjamin Magadula. Mechi ya pili tulicheza na Wenyeji Neighbours Veterans na kuwafunga...

Monday, 11 December 2017

MATUKIO YA PICHA KATIKA KUSHEREKEA SIKU YA NDOA YA Bw. ALLY MGAYA

Bwana Harusi Ally Mgaya akiwana na Bw Frank Gasper wakiwa na nyuso za furaha baada ya kukamilisha kisomo ambapo SVSC ilikaribishwa kwa ajili ya chakula cha mchana. Bwana harusi Ally mgaya akiwa amepozi baada ya kumaliza kisomo na ni Muda sasa wadau na majirani kupata chakula Wadau wakijumuika pamoja kwa ajili ya chakula cha mchana ...

MJUMBE KAMATI YA UFUNDI WA SURVEY VETERANS AAGANA NA UKAPERA.

Mjumbe kamati ya ufundi wa SVSC, Bw. Ally Mgaya ameagana na ukapera baada ya kufunga ndoa na mchumba ake. ilikuwa siku kubwa na muhimu sana kwa Bw, Ally na familia nzima ya wana SVSC ambapo walijumika pamoja katika kumpongeza na kumtakia maisha marefu yenye furaha na aman...

MKISI FC YAPIGWA GOLI 7 NA SURVEY VETERANS

Timu ya Mkisi FC ilikiona cha moto pale ilipokubali kichapo cha goli saba bila kutoka tomu ya SVSC. Goli la kwanza la SVSc liliwekwa kimiani na beki hatari Dr Deusdedit Kibasa baada ya kupata pasi kutoka wa mshambuliaji hatari Musa siwiti. Magoli mengine yalifungwa na Silvatory Malongo ambaye alifunga kwa kupiga kichwa hatari kilichomshinda kipa na kutinga wavuni.. Pia Iddy Kaoneka ( Mnyama) alifunga magoli matatu na kunogesha ushindi wa timu...

Tuesday, 26 September 2017

WAHENGA SPORTS CLUB YAKIONA CHA MOTO KWA SURVEY SPORTS CLUB

 Timu ya wahenga Sports Club inayoundwa na waandishi wa habari za michezo toka vyombo mbalimbali vya habari zikiwemo Tv Magazeti na Radio, walikutana na dhahama pale walipobugizwa magoli 5-0 na Svsc. Alikuwa ni Dr. Mwinyi ambaye alifungua ukurasa wa magoli yakifuatiwa na magoli yaliyofungwa na Mh Ridhiwani kikwete, Hassan Musa na Moses. hadi mpira unaisha SVSC 5 na Wahenga hawakupata kitu. Kiungo shabani Kambabhe na Frank Maria wakinyoosha...